logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumanne, 12 septemba 2006
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
tp.spc

Tunduma kuendelea kusotea maji


Na Kenneth Mwazembe, Tunduma

WANACHI wa mji wa Tunduma wilayani Mbozi, wataendelea kupata shida ya maji hadi hapo mpango wa vichocheo vya mafanikio haraka (Quick wins) utakapoanza kutekelezwa.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Maji, Stephen Wassira katika ziara yake ya kutembelea miji ya Tunduma na Mlowo wilayani Mbozi, ili kujionea uhalisi wa tatizo la upatikanaji wa maji na kuona ni jinsi gani serikali inaweza kuchukua hatua za uboreshaji huduma hiyo.

Alisema serikali imetenga sh milioni 20 ili kusaidia kupunguza makali ya tatizo la maji wakati mpango huo unaandaliwa.

Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka mjini hapa, Justin Munishi amemweleza waziri kuwa tatizo la maji limedumu kwa takribani miaka 40 na kwamba mamlaka yake imekosa uwezo wa kulitatua kutokana na uwezo kifedha.

“Tatizo la uhaba wa maji limetokana na ongezeko la watu ambao ni wahamiaji wanaohamia mjini hapa kwa ajili ya biashara na kwamba wanahitaji meta za ujazo 1,234 kwa siku, lakini miundombinu iliyopo ina uwezo wa kuzalisha meta za ujazo 355,” alisema.

 


h.sep

juu sp.b
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2006 © FreeMedia Ltd.
Free media limited
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234