|
|
Habari mpya motomoto! |
 |
|
Kikwete amfuata Tibaigana ofisini
[Kulwa Karedia] |
 |
 |
|
RAIS Jakaya Kikwete, jana alitembelea ofisi kadhaa zilizo chini ya Wizara ya Usalama wa Raia mkoani Dar es Salaam, na kwenda hadi ofisini kwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Alfred Tibaigana...
|
|
Polisi mpya yaja
[Kulwa Karedia] |
 |
 |
|
MABADILIKO makubwa ya muundo, utendaji kazi, sheria na kanuni ndani ya Jeshi la Polisi, yanakuja. Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Inspekta Jenerali, Said Mwema, amemweleza Rais Jakaya Kikwete kwamba mabadiliko hayo yameshaanza kutekelezwa...
|
|
Mchakato ubunge EAC CHADEMA waanza
[Charles Mullinda] |
 |
 |
|
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza utaratibu wa kuteua wanachama wanaotaka kugombea ubunge wa Afrika Mashariki, na sifa za waombaji...
|
|
Mahakama yapata kigugumizi
[Happiness Katabazi] |
 |
 |
|
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imekataa kufuta Sheria ya Mirathi ya Kimila ya mwaka 1963, katika kesi ya kikatiba namba 82/2005, iliyofunguliwa na wajane wawili kutoka mkoani Shinyanga... |
|
Makamba nje ya Baraza
[Mwandishi
Wetu] |
 |
 |
|
YUSSUF Makamba, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, ameachia madaraka hayo... |
juu 
 |
|
 |
|
Osama aonekana akipanga mashambulizi
CAIRO, Misri |
 |
 |
|
TELEVISHENI ya Kiarabu ya Al-Jazeera juzi ilionyesha video ambayo haikuwahi kuonyeshwa huko nyuma ya maandalizi ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001, ambayo mkuu wa kundi la Al-Qaeda, Osama bin Laden, anaonekana akikutana na baadhi ya wapangaji wa mashambulizi hayo kwenye moja ya kambi yao iliyoko milimani Afghanistan... |
|
Obasanjo amkaanga makamu wake bungeni
ABUJA, Nigeria |
 |
 |
|
RAIS Olusegun Obasanjo, amewasilisha ripoti kwenye baraza la seneti juzi akimtuhumu makamu wake wa rais kwa udanganyifu, kitu ambacho wachambuzi wa mambo wanasema kwamba ni jaribio la kumkwamisha asigombee kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao... |
|
Ufaransa yakataa vita dhidi ya ugaidi
PARIS, Ufaransa |
 |
 |
|
UFARANSA juzi ilitoa kile kinachoonekana kuikosoa sera ya kigeni ya Marekani, kwa kukataa kuiunga mkono vita dhidi ya ugaidi... |
juu 
 |
|
 |
|
|
 |
|
|
 |
|
|
 |
|
IBF Afrika yamtega Matumla
[Mwandishi
Wetu] |
 |
 |
|
BONDIA Mbwana Matumla ‘Golden Boy’ wa Tanzania ameonywa kupanda ulingoni leo kucheza na Alfonso Zyenyika wa Zimbabwe katika pambano la kimataifa la kuwania tiketi ya ubingwa wa Super Fly...
|
| KIFA yaonya klabu Kinondoni
[Eugenia Kimolo] |
 |
 |
|
UONGOZI wa Chama cha Soka Wilaya ya Kinondoni (KIFA) umewaonya watu wanaozunguka kwenye klabu kuzirubuni kushiriki mkutano ulioitishwa na baadhi ya wadau... |
|
Maximo afuta mechi Simba na Yanga SC
[Deodatus Mkuchu] |
 |
 |
|
HESABU za Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Marcio Maximo, kuwa mechi ya kirafiki dhidi ya Uganda, ‘The Cranes’ ifanyike Dar es Salaam Septemba 30, mwaka huu imefuta mechi ya Simba na Yanga...
|
| Mrope, Mwamtobe watemwa U/20
Chalenji ya Vijana
[Dina Zubeiry] |
 |
 |
|
BENCHI la ufundi la timu ya soka ya Tanzania ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ limewatimua wachezaji Julius Mrope na David Mwantobe kutokana na utovu wa nidhamu... |
| Njenje warejea, kuwasha moto Ambassador
[Khadija Kalili] |
 |
 |
|
BENDI ya muziki wa dansi ya The Kilimanjaro ‘Wana Njenje’, imerejea kutoka Norway mapema wiki hii na leo inatarajiwa kutumbuiza kwenye Ukumbi wake wa nyumbani wa Hoteli ya Ambassador Plaza ‘Njenje Plaza’ (zamani Gogo Hoteli), jijini Dar es Salaam... |
| Wa Redd’s Poland wajulikana Miss World
[Dina Zubeiry] |
 |
 |
|
WANYWAJI watatu wa Redd’s wamebahatika kwenda Poland kumshangilia mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss World, Wema Sepetu, linalotarajiwa kufanyika Septemba 30, mwaka huu... |
| Mbwana ulingoni na Mzimbabwe
[Khadija Kalili] |
 |
 |
|
BONDIA Mbwana Matumla wa Tanzania leo anatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa na Alfonso Zyenyika wa Zimbabwe katika pambano la kimataifa la kuwania tiketi ya ubingwa wa Super Fly... |
| Troussier aenguliwa
[Mwandishi
Wetu] |
 |
 |
|
KOCHA Mkongwe wa Ufaransa, Philippe Troussier ‘Mchawi Mweupe’, ameenguliwa katika mbio za kuwania nafasi ya kuinoa timu ya soka ya Ghana ambayo kwa sasa inasaka kocha... |
|
juu 
 |
|
|