logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumapili, 11 Novemba 2007
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Malecela ashikwa kigugumizi [Irene Mark]
spc
LICHA ya kukiri kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinzudi (CCM), John Malecela, kuwa kuna mpasuko ndani ya chama hicho, ameshindwa kulizungumzia kundi la wanamtandao ambalo lilitumika kumuangusha mapema katika kampeni za kuusaka urais mwaka 2005...
  Kadhi alitikisa taifa [Charles Mulinda]
spc
  Wangwe aishambulia Wizara ya Maendeleo ya Jamii [Irene Mark]
spc
  Wafanyakazi Muhimbili walalamikia uongozi [Mwandishi Wetu]
spc
  LHRC yaomba Wahadzabe wasaidiwe [Dauson Harold]
spc
 
Tahariri    Hili la Mahakama ya Kadhi linamhusu Rais Kikwete
spc
TAIFA linaelekea kuingia kwenye mgogoro mwingine mbaya wa udini, ambao kama hautatafutiwa ufumbuzi sasa, ukaachwa uendelee kuenea, madhara yake yanaweza kuwa ni maafa makubwa kwa Watanzania wenyewe...
Sitaki! Uchunguzi wa Makengeza Muhimbili  [Ndimara Tegambwage]
spc
SITAKI serikali ifanye makosa katika kushughulikia mkanganyiko uliojitokeza katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI). Katika taasisi hii, wiki iliyopita, aliyepaswa kufanyiwa operesheni sehemu ya kichwa, alifanyiwa operesheni ya mguu; na aliyepaswa kufanyiwa operesheni ya mguu alifanyiwa sehemu ya kichwa...
  Maswali magumu Achana na Mtikila, mbane Kikwete  [Ansbert Ngurumo]
  Sauti ya Jumapili Uchaguzi Z’bar ulikuwa huru?  [Peter Nyanjes]
spc
  CCM, maneno matupu hayafiki mbingu ya saba  [Deus Bugaywa]
spc
  Dk. Mvungi: Uchumi unaopaa ni wa nani?  [Happiness Katabazi]
spc
  Dodoma yenye jangwa inapogeuka paradiso  [Christopher Nyenyembe]
spc
  Wazo jepesi Uchaguzi CCM una jipya?  [Juvenalis Ngowi]
spc
  Kona ya Vijana Kipanya ameonyesha njia kwa vijana!  [Hillary Nkony]
spc
  Mahusiano baina ya madiwani, watumishi halmashauri  [Padri P. Karugendo]
spc
  Mh. Ngeleja, Shy-Rose na hadithi ya kiraka kipya  [Padri Kitambo Robert]
spc
  Anko Tom anasemaje? Inakuwaje kila ukipigiwa simu anayo mkeo?  []
spc
  Asili ya Muziki Sebene - (7)   [Innocent Nganyagwa]
spc
juu
Tanzania mwenyeji kongamano la TEKNOHAMA [Agnes Mlundachuma]
spc
KONGAMANO la tano la kimataifa la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) linatarajiwa kufanyika mjini Bagamoyo kati ya Novemba 14 hadi 16. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya kongamano hilo, Richard Masika, litashirikisha washiriki 120 kutoka mataifa mbalimbali duniani ...
  Wapanga kuandamana hadi kwa Waziri Magufuli [Agnes Mlundachuma]
spc
juu
Lowassa aagiza kanisa kupewa kibali    Mbeya [Christopher Nyenyembe]
spc
WAZIRI Mkuu, Edward Lowassa, ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuharakisha utoaji wa kibali cha kumiliki bustani ya wanyama pori kwa Kanisa la Kiinjilisti la Mbalizi mkoani Mbeya (MEC). Agizo hilo la Lowassa linalenga kuboresha zaidi huduma za kitalii katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Songwe unaoendelea kujengwa...
  Mwanafunzi darasa la nne afa akitoa mimba    Singida [Halima Jamal]
spc
  Wafikishwa mahakamani kwa kutupa mwili wa marehemu    Kahama []
spc
juu
Richard kung’ara BBA2 leo? [Khadija Kalili]
spc
KITENDAWILI cha nani ataibuka mshindi katika shindano la Big Brother Africa (BBA2), kitateguliwa leo ambako kwa Watanzania, macho yao yatakuwa kwa mwakilishi wao Richard Bezuidenhout, atakayekuwa akiwania kuibuka mshindi ili kutwaa dola za Marekani 100,000 ...
juu
Kampeni ya Ghana yatafuna bil 2/-      [Ruhazi Ruhazi]
spc
WAZIRI wa Habari Utamaduni na Michezo, Muhammed Seif Khatib, amesema serikali imeridhishwa na uongozi bora wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linaloongozwa na Rais Leodgar Tenga...
  Serikali yamtosa Rubeya na wenzake      [Eugeni Kimolo]
spc
 K’Stars kukipiga na Zambia Nov 21     [Makuburi Ally]
spc
  Jeshi Stars bingwa Nje Cup      [Mwanne Sekuru]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234