logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumatatu, 18 Juni 2007
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
tp.spc


JK ateua DC, apangua watatu


na Mwandishi Wetu


RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Magesa Stanslaus Kababi Mulongo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe na kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya watatu.

Mulongo (37) anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Hajat Amina Mrisho Said aliyeteuliwa hivi karibuni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Waliobadilishwa vituo ni Albert Amiri Mnali, anayetoka Tunduru kwenda Bukoba; Paul Victor Chiwile anayetoka Bukombe kwenda Ukerewe na Peter Toima Kiroya, anayetoka Ukerewe kwenda Tunduru.

Mulongo ana shahada ya Biashara na Utawala ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Meneja wa Kituo cha Biashara cha Mkoa wa Rukwa cha Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Pia aliwahi kuwa mwalimu kwa muda katika Shule ya Sekondari Kibara na kufanya kazi kampuni ya simu ya Mobitel na kampuni ya vifaa vya ofisi ya Business Machine Ltd.


h.sep

juu sp.b
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free media limited
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Billicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233  •  faksi +255-22-2126234  •  Selula  0713 296570