logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumatano, 20 Juni 2007
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
tp.spc


Wasanii Afrika kuboresha vipaji Uingereza


na Salma Kabogotah


KITUO cha British Council, leo kinatarajiwa kutoa maelezo jinsi wasanii wa Tanzania watakavyoweza kushiriki katika mpango wa kuwasaidia utakaofanyika nchini Uingereza hivi karibuni.

Mpango huo unaojulikana kama ‘Bring Noise’, una lengo la kuboresha vipaji vya wanamuziki na wasanii kutoka nchi za Mashariki na Magharibi mwa Afrika.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano cha British Council jana jijini Dar es Salaam, programu hiyo itafanyika kwa wiki mbili na itawasaidia katika kuendeleza vipaji vyao kwa kuwajengea uzoefu ndani na nje ya nchi zao.

Pamoja na mambo mbalimbali, wasanii hao wakiwa Uingereza, watapata fursa ya kutengeneza nyimbo za pamoja zitakazowasaidia kubadilishana uzoefu jambo litakalowapa maendeleo wao wenyewe.

Pia taarifa hiyo ilisema kuwa, Bring Noise itasaidia kuendeleza mahusiano mazuri kati ya nchi za Mashariki, Magharibi mwa Afrika na Uingereza.

Nchi zinazotarajiwa kushiriki mpango huo ni Tanzania, Ethiopia, Kenya, Uganda, Ghana, Cameroon, Sudan, Nigeria, Siera Leone, Senegal na wenyeji Uingereza.


h.sep

juu sp.b
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free media limited
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Billicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233  •  faksi +255-22-2126234  •  Selula  0713 296570