logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumamosi, 16 Februari 2008
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
tp.spc


NSSF yaongeza netiboli Media Cup


na Eugenia Kimolo


MICHUANO ya soka na netiboli itakayojulikana kama Media Cup inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Machi mosi hadi 15 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Michuano hiyo ambayo itashirikisha vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, imeandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Taifa (NSSF).

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Juma Kintu, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, mashindano ya mwaka huu yamezidi kuboreshwa ambako mbali ya soka, yatashirikisha pia netiboli.

Kintu alisema kuwa, vyombo mbalimbali vya habari vimepewa mwaliko na vinatakiwa kuthibitisha si zaidi ya kesho mchana.

Alivishukuru vyombo mbalimbali vya habari kwa ushirikiano wao na kuvitaka kuuendeleza.


h.sep

juu sp.b
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2008 © FreeMedia Ltd.
Free media limited
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233  •  faksi +255-22-2126234  •  Selula  0713 296570