logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumamosi, 2 agosti 2008
Yaliyopita
rss feeds
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Wangwe: Siyo risasi [Joseph Senga]
spc
HATIMAYE mazishi ya Mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe (CHADEMA) aliyefariki dunia kwa ajali ya gari, Jumatatu wiki hii, yamefanyika jana baada ya matokeo ya uchunguzi uliofanyika kutangazwa. Mazishi hayo ambayo awali yalikuwa yafanyike juzi, yalikwama...
  Deus Mallya afikishwa mahakamani [Rahel Chizoza]
spc
  Wanafunzi wapambana na polisi Dar [Mwandishi Wetu]
spc
  Magufuli: Uzalishaji wa nyama, umeongezeka [Irene Mark]
spc
  Mbunge ataka mafisadi watajwe hadharani [Irene Mark]
spc
  Baraza lasitisha matokeo ya ualimu [Salehe Mohamed]
spc
  Serikali yapania kuongeza mishahara [George Maziku]
spc
 
Habari zote na Irene Mark na Rahel Chizoza, Dodoma
Mbunge ahoji hatima ya shule ndani ya ranchi  Mbunge  Bukene
spc
MBUNGE wa Bukene, Teddy Kasella-Bantu (CCM), ameitaka serikali kueleza hatima ya majengo ya shule yaliyopo ndani ya ranchi ya mifugo ya Kisasiga, inayotaka kupewa mwekezaji...
  Serikali: Hakuna mwandishi anayelipiwa bima  Mbunge Viti Maalum
spc
  Serikali yapokea bil. 18/- za kampuni ya simu  Mbunge Lupa
spc
  ‘Kigezo cha urefu jeshini ni ubaguzi’  Mbunge Chakechake
spc
  Halmashauri zaagizwa kuweka vipaumbele miradi ya maji  Mbunge Karagwe
spc
juu
Tahariri    Tunalipeleka wapi taifa?
spc
HII ni wiki ngumu kwa Watanzania wapenda demokrasia, wabunge, wananchi wa Mkoa wa Mara, Tarime, wana CHADEMA, ndugu, jamaa na marafiki wa Mbunge wa Tarime, Chacha Zakayo Wangwe aliyefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Jumatatu usiku katika Kijiji cha Pandambili, wilayani Kongwa kilomita 120 kutoka Dodoma mjini...
Uswahilina unahitajika kuokoa maisha THI?  [Christopher Nyenyembe]
spc
WAZIRI wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma Kapuya, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Musa Hassan na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau wasomi wazalendo na wacha Mungu mnaoheshimika, bado wananchi wanawalilia ...
juu
Mke wa Karamagi afutiwa kesi [Asha Bani]
spc
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imefuta kesi iliyokuwa inamkabili mke wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nadya Karamagi...
  Celtel sasa kuitwa Zain [Nasra Abdallah]
spc
  Watatu mbaroni kwa kuiibia Citibank [Esther Mbussi]
spc
juu
Majambazi watikisa Arusha    [David Frank]
spc
WATU wanaodaiwa kuwa ni majambazi wenye silaha za moto, jana walivamia duka la kuuza bidhaa za jumla la Jaimatadi Trading Store, lililopo katikati ya mji wa Arusha na kupora mamiloni ya fedha za mauzo....
  Magu wauza pamba kilo milioni 5    [Osoro Nyawangah]
spc
  ‘Maofisa elimu wanachangia uhaba wa walimu vijijini’    Kigoma [Jacob Ruvilo]
spc
  Wazabuni watishia kusitisha huduma    Arusha [Richard Mwangulube]
spc
  Kiwanda cha mbolea kujengwa Mtwara    Iringa [Tiganya Vincent]
spc
  Mtoto aliwa na mamba, mama anusurika    Mbozi [Kenneth Mwazembe]
spc
juu
Warembo 27 wawania Miss Tz leo [Dina Ismail]
spc
VIMWANA 27, usiku wa leo watapanda jukwaani kuwania taji la Vodacom Miss Tanzania 2008, katika shindano litakalofanyika kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam...
  ASET: Leo hatushindani na FM, ni burudani [Khadija Kalili]
spc
  Msanii Nako2Nako mbaroni kwa bangi [Joseph Zablon]
spc
juu
Yanga yakata Rufaa TFF      [Dina Ismail]
spc
HUKU uongozi wa klabu ya Yanga jana ukiwasilisha rufaa yake kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kupinga kuifungia kucheza mashindano ya kimataifa, kikosi cha timu hiyo kinaondoka leo kwenda Rwanda kwa maandalizi ya Ligi Kuu....
  Wanamichezo Olimpiki Tanzania waonywa      [Mkolo Kimenya]
spc
 Yanga, Mtibwa zadaiwa katiba TFF     [Wilbert Molandi]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2008 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234