VYUO vikuu vyote nchini, vimepanga kuitisha mgomo usiokuwa na kikomo mwishoni mwa mwezi ujao, kuishinikiza serikali kufuta sera ya elimu inayolazimisha wanafunzi kuchangia gharama za masomo. Nia hiyo ya kugoma ilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa TAHLISO, Mtatiro Julius...
TAARIFA za kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa wafanyakazi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wanaotuhumiwa kughushi na kutoa hati za uongo za kumaliza elimu yao ya sekondari zimefungua ukurasa mpya katika taasisi hiyo....
SITAKI wananchi washindwe kujenga mashaka juu ya uhusiano wa serikali na waendeshaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL). Machi mwaka huu waendeshaji, wawekezaji, wabia au ‘marafiki’ wa serikali walishindwa kulipa kima cha chini cha mshahara kama walivyokuwa wamekubaliana na wafanyakazi – kutoka sh 80,000 hadi sh 160,000 kwa mwezi....
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limesema nchi masikini ikiwamo Tanzania haziwezi kukwepa masharti ya misaada inayotolewa na wafadhili, wahisani na mifuko ya fedha ya kimataifa kama haitokuwa na njia thabiti za kujijenga uwezo kiuchumi kwa lengo la kujitegemea na kuachana na utegemezi wa misaada....
IKIWA leo ni siku ya michezo duniani, Tanzania itadhimisha siku hiyo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambako kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘ Michezo ni biashara na ajira’....