|
WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Huruma Mkuchika, jana alitoa kauli ambayo kwa hakika, inapaswa kuungwa mkono na kila mdau wa michezo na ustawi wa jamii kwa ujumla. Akifunga maadhimisho ya Siku ya Michezo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Mkuchika amewaonya wenye ulafi wa kuuza na kununua maeneo ya wazi yaliyotengwa kwa shughuli za kijamii ikiwamo kuchezea watoto.... |
|
ALAMA za nyakati ambazo kwa bahati mbaya wengi wameshindwa kuzisoma, zinanionyesha kuwa huu ni wakati muafaka kukushauri au kukumbusha mambo muhimu yanayohusu maendeleo ya klabu ya Simba. Baada ya hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Simba S.C kwa shinikizo lako, ya kunisimamisha pasipo kufuata taratibu, niliamua kukaa kimya.... |