logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumapili, 10 septemba 2006
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Kikwete adanganywa [Happiness Katabazi]
spc
RAIS Jakaya Kikwete amedanganywa na wajanja katika suala la mikataba ya madini. Matokeo yake, serikali yake imekubali kutupiwa ‘makombo’ na wawekezaji wa madini, badala ya kurekebisha sheria ya uwekezaji na sheria ya madini...
CUF yatoa msimamo mkali [Mwandishi Wetu]
spc
AHADI ya Rais Jakaya Kikwete kuondoa mpasuko wa kisiasa Zanzibar imeingia hatua mpya, baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kuweka ukomo wa utekelezaji wa ahadi hiyo. Ukomo uliowekwa na chama hicho katika utekelezaji wa ahadi hiyo ni kabla ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi wa Ramadhani....
JK achafua rekodi kwa waandishi [Mwandishi Wetu]
spc
WAZIRI Mkuu, Edward Lowassa, amewataka abiria wote nchini kususia magari yanayojaza kupindukia, na yanayoendeshwa kwa kasi ya kutisha. Amesema abiria wasikubali kuendeshwa na jaziba za makondakta na madereva, badala yake wawadhibiti au wasusie magari yao...
juu
spc
TZ yashauriwa kujifunza kuhifadhi kumbukumbu   HO CHI MINH, Vietnam
spc
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Regina Lowassa, amesema Tanzania ina haja ya kujifunza kutoka Vietnam, hasa katika suala la kutunza kumbukumbu za matukio ya kitaifa yanayohusu kina mama...
‘Dawa za kienyeji kiboko ya UKIMWI’   JOHANNESBURG, Afrika Kusini
spc
WAZIRI wa Afya wa hapa mwenye utata, Manto Tshabalala-Msimang, amejibu mapigo dhidi ya shutuma zinazomwandama kuhusiana na jinsi anavyoyachukulia mapambano ya ugonjwa wa UKIMWI kwa kusema kwamba dawa za kienyeji ndizo zenyewe katika kupambana na ugonjwa huo...
Kabila ashindwa kudhibiti bunge DRC   KINSHASA, DR Congo
spc
MUUNGANO wa vyama unaoongozwa na Rais Joseph Kabila, umeshinda kwa kishindo uchaguzi wa wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, lakini ulishindwa kupata viti vingi vinavyohitajika kuunda serikali...
Wanawake kupigwa marufuku kuhiji Mecca?   JIDDAH, Saudi Arabia
spc
MAOFISA wa hapa wanafikiria kuwasilisha muswada unaokataza wanawake kutimiza moja ya nguzo ya tano ya Uislamu ya kuhiji katika jumba takatifu zaidi lililopo Mecca...
juu
spc
Vitabu vya ngono sasa vyauzwa kwa siri, bei juu [Irene Mark]
spc
MAOFISA wa hapa wanafikiria kuwasilisha muswada unaokataza wanawake kutimiza moja ya nguzo ya tano ya Uislamu ya kuhiji katika jumba takatifu zaidi lililopo Mecca. Baadhi wanasema kwamba wanawake tayari wamezuiwa kuhiji sehemu hiyo...
Waandishi wapewa somo [Tamali Vullu]
spc
WAANDISHI wa habari nchini, wameshauriwa kutumia lugha ya kiungwana wanapoandika habari za UKIMWI, kwani lugha inayotumika sasa inawanyanyapaa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI...
Kesi za ubakaji watoto zaongezeka [Asha Bani]
spc
KESI za ubakaji katika Mahakama za Watoto nchini zimeongezeka kwa kiasi kikubwa. Hayo yalibainishwa na Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni, Hamisa Kalombola...
Kimara waaswa kutumia kanisa vizuri [Christina Gregory]
spc
WAUMINI wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kimara wametakiwa kutumia kanisa kama nyumba ya ibada na si kwa kazi nyingine. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, alitoa ushauri huo jana alipokuwa akihubiri kwenye ibada ya ufunguzi wa parokia hiyo...
Banda la TANAPA lavutia wengi [Dauson Harold]
spc
BANDA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limewavutia watu wengi waliofika katika maonyesho ya vitabu yaliyofanyika viwanja vya Makumbusho ya Taifa, Dar es salam...
juu
spc
Ujenzi wa sekondari wakwama    ruvuma [Albano Midelo]
spc
MRADI wa ujenzi wa Sekondari ya Kata ya Mahanje, wilayani Songea Vijijini, Ruvuma umechelewa kuanza baada ya kukosa mahali pa ujenzi panapokubalika na vijiji vitatu vya Lutukira, Mkongotema na Magingo...
Watendaji wapigwa stop kutoa vibali kwa wafugaji    dom [Jamal Zuberi]
spc
WAZIRI Mkuu, Edward Lowassa, amewataka abiria wote nchini kususia magari yanayojaza kupindukia, na yanayoendeshwa kwa kasi ya kutisha. Amesema abiria wasikubali kuendeshwa na jaziba za makondakta na madereva, badala yake wawadhibiti au wasusie magari yao...
Waajiri watakiwa kuheshimu mikataba ya kazi    kigoma [Anthony Kayanda]
spc
WAAJIRI nchini wametakiwa kuheshimu mikataba ya hiari ya kazi ili haki iweze kutendeka kwa pande zote zinazohusika, ikiwa ni katika kutekeleza jitihada za serikali za kuondoa migogoro na kuongeza tija kazini...
TUICO kuwapiga msasa wanachama wake    moro [Riziki Mwakyoma]
spc
CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha na Huduma za Ushauri nchini (TUICO), kimeanza mikakati ya kuwapiga msasa viongozi na wanachama wake kote nchini kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya sheria za kazi zinazotarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni...
Magari 25 yakamatwa    Dodoma [Martha Mtangoo]
spc
POLISI mkoani Dodoma imeendesha msako na kuyakamata magari 25 yakiwamo ya abiria ambayo yanaendeshwa kinyume cha taratibu za usafirishaji...
juu
spc
Tahariri    Lipumba amedhamiria nini?
spc
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimempa muda maalumu, Rais Jakaya Kikwete, kumaliza mpasuko wa kisiasa Zanzibar. Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, jana alinukuliwa akisema Rais Kikwete amepewa hadi mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, awe ametoa jawabu la matatizo ya kisiasa visiwani humo...
Mawaziri wa JK waandika historia  [Ndimara Tegambwage]
spc
HISTORIA ya siasa za Tanzania inaanza kuandikwa upya. Waandishi wachanga ni Dk. Juma Ngasongwa na Celina Kombani. Hawa ni wabunge. Vilevile ni mawaziri. Somo kuu katika historia hii ni wananchi wa Ipanko katika Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro. Vipengele katika somo hilo ni madini na kampuni ya Interstate...
Si uadilifu kuchanganya dini na siasa katika dola mseto  [Deusdedit Jovin]
spc
Wizara ya Afya imesema tatizo la ugonjwa wa akili lipo zaidi mijini kutokana na watu wengi, hasa vijana kupata na kkutumia madawa ya kulevya. Naibu Waziri wa Afya, Dr. Hussein Mwinyi, jana alililambia Bunge kuwa pamoja na mihadharati...
AMINA CHIFUPA: Mbunge mdogo, mambo makubwa  [Martha Mtangoo]
spc
WENGI walimdharau na kumbeza wakati alipokuwa akiomba nafasi ya uwakilishi bungeni kwa tiketi ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kwa madai kuwa hana uwezo.  Walimdharau pia kwa madai eti hakusoma na hawezi kuwa mwakilishi wa vijana...
Kauli Yangu Umeme Jumapili kwa faida gani?  [Manyerere Jackton]
spc
TAIFA letu linakabiliwa na mgawo wa umeme. Athari zake zimeanza kuonekana. Kukosekana kwa nishati hiyo kunaathiri uchumi na kuvuruga malengo mazuri ya kuujenga. Kwa kiasi kidogo kinachozalishwa sasa, tunapaswa kukitumia kwa busara zaidi ili tuzalishe zaidi...
Nasikitika Watawala dhaifu wametufanya mateka wa giza  [Kanku Gambile]
spc
NASIKITIKA kwamba Tanzania inakuwa nchi ya giza. Ndani ya nchi ya giza kuna taifa la giza. Katika taifa la giza kutakuwa na mateka wa giza. Nchi ya giza, taifa lililokumbwa na giza na mateka wa giza, wote ni mahabusu katika giza nene ambamo ama wamebakia kulalama, kupiga ramli au kuishi kwa matumaini ya kukombolewa na wengine...
MJUMITA yapania kuleta mabadiliko katika mtandao wao  [Hagulwa Msusu]
spc
MWITIKIO wa asasi za kiraia katika kuboresha maisha ya Watanzania kwa kupambana na umaskini kupitia rasilimali mbalimbali zilizopo hapa nchini umeshika kasi...
Mapanki yetu Dar ni vichwa, miguu ya kuku  [Mwandishi Maalum ]
spc
KWA wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam, hasa wenye kipato cha chini ambao ndio wengi, utumbo, miguu, vichwa vya kuku na utumbo wa ng’ombe ndilo tegemeo lao kubwa kwa kitoweo chao cha kila siku...
Sitaki CCM ina njama chafu na muungano wa wapinzani  [Nikita Naikata]
spc
SITAKI Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa afanyie kazi yake gizani. Sitaki aishauri serikali kufanyia kazi zake gizani kama “wachawi.” Wiki hii amesema kwamba tayari serikali imeandaa muswada wa sheria utakaoruhusu vyama vya siasa kuungana na kusimamisha mgombea mmoja katika uchaguzi...
Sitanii Tunaweza kuushinda umaskini  [Deudatus Balile]
spc
LEO nimelazimika kuandika mada hii ya umaskini. Umaskini ni hali ya mtu kupungukiwa kipato. Kwa maelezo ya kawaida mtaani wanasema mwananchi kutokuwa na uhakika wa mlo kamili. Hali hii inajitokeza kutokana na wananchi kuwa na umaskini wa kipato...
Tusemezane Vema Mheshimiwa Msabaha ajiuzulu  [Mutekanga Isidory]
spc
NILIPOMSIKIA Waziri wa Nishati na Madini, Ibrahim Msabaha, akitangaza kwamba umeme utakatwa kwa siku tano, mwanzoni nilidhani sikumsikia vizuri. Baadaye nilisoma habari hizo magazetini, nikaamini ni ukweli. Zilikuwa ni siku tatu, umeme unazimwa tangu asubuhi na kurudishwa jioni, na ilikuwa kero ya kutosha...
Waraka kutoka Canada Turuhusu udini ututenganishe?  [Jeff Msangi]
spc
Mojawapo ya mambo ambayo sisi kama Watanzania, hususan tunapokuwa nje ya nchi, hatuishi kujivunia ni suala la kutobaguana kwa kutumia dini wala kabila. Ilifikia mahali ikawa kama ni kosa la jinai kumuuliza mwenzako ni kabila gani au dini gani. Udini na ukabila si misingi ya taifa letu. Utanzania tuliuweka mbele zaidi...
Wazo jepesi Tunapalilia uchuuzi wa takataka kutoka ughaibuni   [J. Ngowi]
spc
NINANYANYUA moyo wangu kwa shukrani, nikimshukukuru Rabuka kwa kuniwezesha tena kupata pumzi na nguvu ya kuwasilisha mawazo yangu yaliyo mepesi mno. Ni wiki nyingine ambayo tumeshuhudia mchuano mkubwa wa kuporomoka kwa shilingi dhidi ya dola ya Marekani...
juu
spc
Muhtasari wa Makala Fupifupi    Asili ya Muziki [Innocent Nganyagwa]
spc
Leo tunaangaza na kukumbushana japo kwa ufupi tu, safari yetu ya makala fupi fupi tunayoihitimisha. Kwa kawaida kila tunapomaliza hatua moja kwenda nyingine huwa nakukumbusha tulikotokea na tunakoelekea ili tuwe pamoja sambamba katika ufuatiliaji bila kupotezana...
Simba ilivyokata uteja Yanga 1990    enzi hizo [Mahiza R. Mahiza]
spc
Yanga wanaumia kuona hawana jeuri mbele ya watani wao wa jadi, lakini kwa mtazamo wao na jinsi rekodi ya timu hizo ilivyo, ni kawaida kwao kuwa na msimu wa kumtambia mwenzake...
Simba, Yanga vitani    Ligi Kuu [Deodatus Mkuchu]
spc
TIMU za Simba na Yanga, leo zinaingia katika vita ya kusaka pointi tatu muhimu katika mechi zao tofauti za Ligi Kuu ya Tanzania Bara inayodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom...
Ligi ya vijana Ilala kuanza leo    [Joe Lwakatare]
spc
LIGI ya soka ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, inatarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam...
Chelsea safi, Arsenal yabanwa    [Mwandishi Wetu]
spc
LICHA ya kukosa penalti moja, timu ya soka ya Chelsea, jana ilivuna pointi tatu muhimu baada ya kuibamiza Charlton Athletic mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa Stamford Bridge...
juu
sp.b
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2006 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234