|
|
Habari mpya motomoto! |
 |
|
Jangwani imeuzwa
[Asha Bani]
|
 |
 |
|
SIRI ya bomoa bomoa Jangwani, Dar es Salaam, hatimaye imefahamika, baada ya kuwapo habari kwamba sehemu ya eneo hilo maarufu, imeuzwa kwa matajiri wanne. Habari zilizopatikana mwishoni mwa wiki zilisema eneo hilo limeuzwa tangu mwaka 2004...
|
|
Jengo la NEC Z’bar lauzwa
[Mwandishi
Wetu]
|
 |
 |
|
JENGO lililokuwa likitumika kama Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar, limeuzwa kinyemela na kugeuzwa ghala la kuhifadhia saruji...
|
|
Makao ya wilaya yaigawa Rorya
[Mwandishi
Wetu]
|
 |
 |
|
KUNDI la matajiri wafanyabiashara, linadaiwa kuwahonga madiwani kadhaa wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, na kuupigia kura mji wa Utegi kuwa makao makuu ya wilaya mpya ya Rorya inayotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni...
|
|
Kitillya anayajua haya?
[David Frank]
|
 |
 |
|
MAOFISA wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanaendesha kampuni za forodha katika mpaka wa Namanga, mkoani Arusha, imeelezwa... |
juu 
 |
|
 |
|
Waliobomolewa Jangwani watoboa siri
[Asha Bani] |
 |
 |
|
WANANCHI waliobomolewa nyumba zao eneo la Jangwani, kwa madai kuwa eneo hilo si bora kwa makazi yao, wametoboa siri ya kubomolewa nyumba zao... |
| Bakuli la Shibuda lanasa mil. 323.9/-
[Asha Bani] |
 |
 |
|
MBUNGE wa Maswa, John Shibuda, amepata sh milioni 323.9 kutoka kwa wahisani mbalimbali kwa lengo la kutekeleza mradi wa maji katika jimbo lake... |
| Vodacom yapata milionea wa kwanza
[Joseph Senga] |
 |
 |
|
MSHINDI wa kwanza wa shindano la Voda Milionea ngazi ya pili, ambalo limeandaliwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, amepatikana... |
| Viongozi wa dini waaswa
[Nasra Abdallah] |
 |
 |
|
VIONGOZI wa dini wametakiwa kutotumia mikutano ya dini kuzikashifu dini nyingine. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro, aliyasema hayo jana kwenye hafla ya kuwasimika viongozi wapya wa kitaifa wa Kanisa Huru la Kipentekoste (FPCT)... |
|
Mbunge awataka vijana kuacha mauaji ya vikongwe
[Asha Bani] |
 |
 |
|
MBUNGE wa Maswa, John Shibuda, amewataka vijana kuacha mara moja tabia ya kuua vikongwe kwa imani kuwa ni wachawi... |
juu 
 |
|
 |
|
Mgogoro NHC Arusha wapamba moto
Arusha
[David Frank] |
 |
 |
|
MGOGORO wa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoani Arusha, umechukua sura mpya baada ya kubainika kuwa utaratibu wa upangaji katika jengo maarufu la Hima Investment, ulivurugwa na ofisa mmoja (Jina linahifadhiwa) ambaye hivi sasa amehamishiwa Dar es Salaam... |
|
Madiwani Moro watishia kugoma
Morogoro
[Lina Luka] |
 |
 |
|
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, walitishia kugomea kikao cha Baraza la Madiwani katika manispaa hiyo kutokana na kuletewa ajenda mbili badala ya nne kama ilivyopangwa... |
|
TAFFA wamwangukia Kitilya
Arusha
[David Frank] |
 |
 |
|
CHAMA cha Mawakala wa Forodha katika mpaka wa Namanga wa Tanzania na Kenya (TAFFA), kimemuomba Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya kutoa ufafanuzi juu ya maofisa wawili wa TRA ambao wamekuwa wakiendesha kampuni za forodha hali ya kuwa ni wadhibiti katika mpaka huo... |
|
Walimu marufuku kuhimiza kondomu shuleni
Arusha
[R.i Siwayombe] |
 |
 |
|
SHULE ya Msingi Maromboso, inayomilikiwa na Kanisa la Baptisti Tanzania, imepiga marufuku walimu wa shule hiyo kufundisha wanafunzi juu ya matumizi ya kondomu au kuwa na mpenzi mmoja katika vipindi vya masomo... |
|
Kijiji chaporwa ng’ombe 138
Tarime
[Mwandishi
Wetu] |
 |
 |
|
NG’OMBE 68 na mbuzi 42, mali ya baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kegonga wilayani Tarime, mkoani Mara, wamedaiwa kuporwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wenye bunduki kutoka Wilaya ya Trans Mara nchini Kenya... |
|
Wajawazito 478 wana HIV Morogoro
[Lina Luka] |
 |
 |
WAJAWAZITO 478 wamegundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI kati ya 6,278 waliopimwa katika kipindi cha Januari hadi Juni, mwaka huu katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Morogoro... |
|
Daktari kizimbani akidaiwa kuua
Singida
[Jumbe Ismailly] |
 |
 |
MFANYAKAZI mmoja wa Kituo cha Afya Tumaini cha Halmashauri ya Manispaa ya Singida, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, akikabiliwa na mashitaka ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Kintandaa, Wilaya ya Singida Vijijini... |
|
Miaka 30 jela kwa kumbaka mpwawe
Singida
[Jumbe Ismailly] |
 |
 |
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mjini Singida, imemuhukumu mkazi wa Mwasauya, mkoani hapa, Juma Sakilu (46), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 19... |
juu 
 |
|
 |
|
Tahariri
Jamal Malinzi umenena |
 |
 |
|
Kuna habari katika kifungu cha Michezo inayomzungumzia bosi wa zamani wa Yanga, Jamal Malinzi. Malinzi aliyewahi kuwa mmoja wa wakurugenzi wa Yanga kisha baadaye kuwa katibu mkuu, ametoa somo kwa wadau wa Yanga kwamba wasirogwe kumkorofisha mdhamini wa klabu hiyo kwa sasa, Yussuf Manji... |
|
Unyonyaji duni unaolalamikiwa na wasanii [Cosato Chumi] |
 |
 |
|
WIKI iliyopita nilisoma makala mbili za waandishi, Ibrahim Hassan au Ibra Poza, yenye kichwa cha habari: ‘Ndiyo kusema Ngwair tunampoteza jumlajumla’ iliyotoka kwenye gazeti la ‘Lete Raha’, toleo la Julai 30 hadi Agosti 5, mwaka huu... |
|
Buriani Rashid Hanzuruni [Ruhazi Ruhazi] |
 |
 |
|
ALHAMISI ya Septemba 21, wapenzi na mashabiki wa michezo hususan soka, walipatwa na simanzi kubwa kwa kifo cha mchezaji wa zamani, Rashid Hanzuruni, aliyefariki dunia jioni ya siku hiyo... |
|
Mtazamo
Utaifa katika michezo uonyeshwe kwa vitendo [T. Chambo] |
 |
 |
|
HIVI sasa Watanzania tuko kwenye kipindi cha kuonyesha kuwa ni wamoja na tunachojali ni utaifa mbele, halafu matamanio mengine baadaye. Hiyo ni dhana ambayo nadhani kila Mtanzania hivi sasa anayo katika kuhitaji maendeleo na mfanikio katika michezo, kile anachokihitaji bila kujali itikadi yake kisiasa, kiuchumi, kidini, kikabila na kadhalika... |
juu 
 |
|
 |
|
Lowassa achangia mamilioni Dar
[Dina Zubeiry] |
 |
 |
|
WAZIRI Mkuu, Edward Ngoyai Lowassa, juzi aliwateka wadau wa michezo, hususani soka waliojitokeza kuchangia ujenzi wa shule ya sekondari ya michezo iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam baada ya kuchangia sh mil. 60 kati ya sh 88,340,000 zilizopatikana...
|
| Ngorongoro yarejea
[Mwandishi
Wetu] |
 |
 |
|
KOCHA Msaidizi wa timu ya taifa ya vijana wa chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Sylvestre Marsh amesema, kikosi cha timu hiyo ndicho kilichobeba matumaini ya soka la Tanzania kwa siku za usoni... |
|
Malinzi anguruma Yanga
[Deodatus Mkuchu] |
 |
 |
|
KATIBU Mkuu wa zamani wa klabu ya Yanga, Jamal Malinzi, amesema kama wanachama wa klabu hiyo watashindwa kutulia na kuuheshimu mchango wa mdhamini wa klabu hiyo, Yussuf Manji, watajuta...
|
| Yanga yapewa somo
[Ruhazi Ruhazi ] |
 |
 |
|
BAADA ya Mkurugenzi wa Kampuni ya Gaming Management Limited, Yussuf Manji kufanikiwa kumaliza msuguano uliokuwa unaota mizizi kati ya makundi ya wanachama ndani ya Yanga, mkurugenzi huyo sasa ameshauriwa kusimamia suala la kufuta kesi za baadhi ya wanachama zilizopo mahakamani... |
| Ikulu kinara 2006
SHIMIWI
[Makuburi Ally na Anna Makange] |
 |
 |
|
OFISI ya Rais Ikulu, juzi walitawazwa rasmi kuwa mabingwa wa jumla wa michezo saba kwenye mashindano ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) na kukabidhiwa kombe na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo aliyekuwa mgeni rasmi... |
| Wema ana nafasi – Taasisi Miss World
[Mwandishi
Wetu] |
 |
 |
|
MKURUGENZI wa Chama cha Wasamaria Wema Mwanza, Moshi ‘Moschye’ Constantine, amesema kwamba ana imani kwamba mrembo wa Tanzania, Wema Sepetu, atafanikiwa mwishoni mwa shindano hilo... |
|
juu 
 |
|
|