|
|
Habari mpya motomoto! |
 |
|
|
 |
|
Tahariri
Serikali ijizatiti kuwalinda Watanzania katika ajira |
 |
 |
|
KWA mara nyingine tena, Rais Jakaya Kikwete amesisitiza msimamo wake wa kila mara, unaotaka wawekezaji nchini wawafikirie Watanzania kwanza katika ajira na mishahara kabla ya kufanya hivyo kwa wageni.
Rais Kikwete alitoa wito huo juzi wakati akitembelea kiwanda cha East Coast kinachozalisha mafuta kilichopo katika eneo la ZamCargo, Dar es Salaam... |
|
Ukweli kuhusu wasichana wa kazi za nyumbani [Nasra Abdallah] |
 |
 |
|
WIKI hii katika viwanja vya Klabu ya Leaders, Dar es Salaam, Shirika la Utu Mwanamke, kwa kishihirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania, waliendesha jukwaa la wazi juu ya maisha ya wanawake na wasichana.
Mada kuu tatu zilijadiliwa katika jukwaa hilo lililochukua siku tatu, ikiwamo vifo vinavyosababishwa na uzazi na ulemavu, watumishi wa majumbani na ukatili wa kijinsia majumbani... |
 |
Simo!
Mzee wa kujitoa anapokamata madaraka [Mzee wa Kujitoa] |
Mtazamo wangu
Kingunge usingoje kurushiwa mawe [Salim Said Salim] |
 |
Wanaowapa mimba wanafunzi wafanywe nini? [Innocent Mallya] |
 |
Polisi hana haki ya kumpiga mtuhumiwa! [Mohamed Majaliwa] |
 |
Tutafakari
Nguvu ya kujifunza, nguvu ya kupenda [Baltasar Mwema] |
 |
Wasukuma; Mtemi hurithishwa tunguli za utawala [Innocent Nganyagwa] |
 |
Malack Changa
Kiswahili kitumike kufundishia mashuleni [Lucy Ngowi] |
 |
juu 
|
|
 |
| Habari zote na Irene Mark na Rachel Chizoza, Dodoma |
|
|
 |
|
Sitta azijia juu shule binafsi zisizosajiliwa
[Agnes Yamo] |
 |
 |
|
SERIKALI imewapiga marufuku wamiliki wa shule binafsi za msingi na za sekondari ambazo hazijasajiliwa, kuandikisha na kupokea wanafunzi kwa muhula mpya wa masomo 2008... |
juu 
|
|
 |
|
|
 |
|
|
juu 
|
|
|