logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumamosi, 15 Desemba 2007
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Mahujaji kufidiwa [Mkolo Kimenya]
spc
SERIKALI imelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATC) kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini kiini hasa cha kukwama kwa mahujaji zaidi ya 1,000 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Aidha, wakati uchunguzi huo ukiendelea, serikali imeahidi kuwalipa kifuta jasho...
  Serikali: Matokeo REDET safi [Ratifa Baranyikwa]
spc
  Kesi ya Slaa yaahirishwa [Mustafa Leu]
spc
  Dawasco yakusanya mil. 260/- kwa wadaiwa sugu [Hellen Ngoromera]
spc
  Waandishi Tanzania Daima wapata Tuzo [Mkolo Kimenya]
spc
  Kauli za kumaliza mwafaka zaanza [Mohammed Abduralhman]
spc
 
Tahariri    Fedheha hii ya mahujaji isiachwe ipite hivi hivi
spc
HAKUNA kitu kikubwa na chenye thamani kama imani, na hasa pale inapojengwa kwenye misingi ya kidini kwa waumini walio huru na wanaostahili kupata haki zao bila kuingiliwa na wengine...
Siku saba za majonzi ya mahujaji Uwanja wa NIA  [Mobini Sarya]
spc
TUKIO la mahujaji wa Kiislamu kukwama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa siku saba si tu limeushaangaza umma bali pia limeitia aibu serikali na kuivua nguo kimataifa ...
  Haki za walemavu barabarani  [Innocent Mallya]
  Vikwazo vya kuushinda ukimwi  [Innocent Nganyagwa]
spc
  Kwa nini hatuna furaha katika ndoa? (7)  [Bollen Ngetti]
spc
  Athari za mfumo wetu wa elimu kwa sasa  [Giliard Sauli]
spc
  Umri wa kuozwa tatizo kwa watoto wa kike  [Mkolo Kimenya]
spc
  Tutafakari Daima ujinga ni sehemu ya maisha ya mtu  [Baltazar Mwema]
spc
  Simo! Eti kwenu uhuru tuliopata unatosha?  [Mzee wa Kujitoa]
spc
  Wanyamwezi; Wapagazi waliopenda ngoma na utani  [Innocent Nganyagwa]
spc
juu
TEA yawapa vyeti wachangiaji wa elimu [Prisca Nsemwa]
spc
JAMII inchini, imetakiwa kusaidia gharama za elimu ili kujikwamua katika minyororo ya umaskini na kujiandaa na ushindani wa soko la ajira kabla ya ujio wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ...
  Wanafunzi IMTU waandamana kudai mikopo [Agnes Mlundachuma]
spc
  Tendwa asajili chama kipya cha siasa [Editha Msaki]
spc
juu
Mwalimu mmoja wanafunzi 284    Nzega [Shangwe Thani]
spc
KUTOKANA na uhaba wa walimu hasa katika shule za vijijini, mwalimu Job Fundi anafundisha wanafunzi 284 wa Shule ya Msingi Mwansabo, Kata ya Wela wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora...
  Vyuo vyafungwa kwa kukosa wanafunzi    Mbeya [Christopher Nyenyembe]
spc
  Mwekezaji mpya RTL lawamani    Tanga [Anna Makange]
spc
  Mauaji ya albino, waganga waaswa    Bunda [Ahmed Makongo]
spc
  Idara ya Elimu inatubagua – Walemavu    Singida [Jumbe Ismailly]
spc
juu
Wakali wa Twanga kuonyeshana nani zaidi [Mwandishi Wetu]
spc
WASANII wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta International, wanatarajiwa kuchuana katika shindano litakalojulikana kama Usiku Mkali wa Show Biz, imefahamika...
juu
Mimi si mwanasiasa - Maximo      [Eugenia Kimolo]
spc
KOCHA wa timu ya soka ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Mbrazil Marcio Maximo, amesema yeye si mwanasiasa, ukweli ni kwamba, kikosi anachokijenga sasa si cha mafanikio ya leo bali kwa siku zijazo...
  Eritrea yaikandamiza Uganda     Chalenji '07 [Eugenia Kimolo]
spc
 Odhiambo arejea Simba     [Eugenia Kimolo]
spc
  Waingereza wakunwa na vipaji Tz      [Ruhazi Ruhazi]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234