logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumapili, 16 Desemba 2007
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
JK atabiriwa magumu 2008 [Mwandishi Wetu]
spc
JARIDA maarufu la The Economist, kwa mara nyingine tena limefanya tathmini yake kuhusu mwelekeo wa kiuchumi wa Tanzania na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika kipindi cha mwaka ujao wa 2008 unaojongea. Tathmini mbili tofauti kuhusu Tanzania...
  Dk. Salim, Prof. Shivji wawaamsha wasomi [Ratifa Baranyikwa]
spc
  'Miji yote kuwa na barabara za lami' [Mkolo Kimenya]
spc
  DAWASCO mzigo kwa serikali [Schola Athanas]
spc
  Rushwa imewashinda viongozi SMZ [Mwandishi Wetu]
spc
 
Tahariri    Rais Kikwete bado ana safari ngumu
spc
IJUMAA, Desemba 21, siku tano zijazo, Rais Jakaya Kikwete atatimiza miaka miwili tangu aingie madarakani. Miaka miwili ni kipindi cha kutosha kupima utendaji wa kiongozi yeyote ...
Miaka miwili Kikwete Ikulu, tumaini lililopotea  [M.M. Mwanakijiji]
spc
IJUMAA ya Desemba 21, wiki hii, Rais Jakaya Kikwete, anatimiza miaka miwili madarakani. Pamoja na fanikio hili binafsi kwake na anguko kwa wananchi, miaka miwili ya Kikwete inaacha maswali mengi kuliko majibu...
  Ufisadi na viongozi fisadi Tanzania  [Padri Kitambo Robert]
  Miaka miwili ya Kikwete; Maswali ni mengi kuliko majibu  [H. Katabazi]
spc
  Elimu yetu ya sasa yawafaa wananchi?  [Deus Bugaywa]
spc
  Sauti ya Jumapili Rais Kikwete; sitaki kuamini  [Ratifa Baranyikwa]
spc
  Tusemezane Mlaji wa mwisho ndiye anayeumia  [Privatus Karugendo]
spc
  Tuna sababu za kufurahi tunaposherehekea uhuru?  [Juvenalis Ngowi]
spc
  Sitaki JWTZ na miradi ya kitalii  [Ndimara Tegambwage]
spc
  Kona ya Vijana Li-wapi Baraza la Vijana Tanzania?  [Hillary Mkony ]
spc
  Ukumbi wa SMS Kauli za wananchi kuhusu huduma zinazotolewa na TRL  []
spc
  Vurugu, unyanyasaji vinapotumika kama maficho ya udhaifu  []
spc
  Tanzania bila TANESCO inawezekana   [Christopher Nyenyembe]
spc
  Anko Tom anasemaje? Haya, Krismasi hiyoo inawadia  [Tom Kilumbi ]
spc
  Tumetelekeza utamaduni wetu, tuko hatarini kuangamia  [Daniel Misheto]
spc
  Asili ya Muziki Sebene (12) [Innocent Nganyagwa ]
juu
Nauli ya mabasi mikoani juu [Kulwa Karedia]
spc
ZIKIWA zimebaki siku tisa kabla ya Sikukuu ya Krismasi, nauli ya mabasi yaendayo mikoani imepanda. Uchunguzi uliofanywa na Tanzania Daima Jumapili kwa siku kadhaa katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, umebaini kuwa kupanda huko kwa nauli kunatokana na ongezeko la wasafiri wanaotoka Dar es Salaam kwenda mikoani kwa mapumziko ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya...
juu
Watatu wauawa, wanyofolewa nyeti    Mwanza [Wilson Elisha]
spc
WATU wasiojulikana, wamewaua vikongwe watatu mkoani Mwanza kwa kuwakata mapanga na mmoja wao kunyofolewa sehemu za siri na kutoweka nazo ...
juu
Ngwasuma, B-Band wafunika Diamond [Mwandishi Wetu]
spc
MASHABIKI waliofika kumwona kinara wa muziki wa Kilingala kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambaye hakutokea kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa waandaaji, walijikuta wakikongwa nyoyo na bendi ya FM Academia pamoja na B-Band ya Banana Zoro...
  Msondo safi, lakini… [Khadija Kalili]
spc
juu
Kili Stars kukipiga na Sudan robo fainali     Chalenji '07 [Eugenia Kimolo]
spc
IKICHEZA soka ya matumaini, timu ya soka ya taifa ya Bara, Kilimanjaro Stars, jana ilitoka sare ya bila kufungana na Burundi katika mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam....
  Twiga Stars zamisha Eritrea leo      [Khadija Khalili]
spc
 Mkangwa, Kessi nje Mtibwa     [Ruhazi Ruhazi ]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234