logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumapili, 17 Juni 2007
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
CUF wamgeuka Lipumba [Irene Mark]
spc
KUNA kila dalili sasa kuwa, upepo wa kisiasa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, ndani ya chama hicho, umeanza kuchafuka. Dalili hizo zinaonyesha kuwa, Prof. Lipumba sasa anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wanachama wa chama hicho...
  Bajeti yazidi kuliza wengi [Mwandishi Wetu]
spc
  Nnauye aionya CCM [Christopher Nyenyembe]
spc
  Waliokufa ajali ya Mohamed Trans wajulikana [Mwandishi Wetu]
spc
 
Tahariri    Dhima ya bajeti hailengi kumkomboa mwananchi
spc
ALHAMISI wiki hii, Waziri wa Fedha, Zakia Meghji, alitangaza bajeti ya serikali ya mwaka 2007/2008. Bajeti hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na wananchi wa kada mbalimbali; wapo wanaoina kuwa ni bajeti safi, na wengine wanalia kuwa, itawaumiza kwa kuwazidishia ukali wa maisha...
Maswali Jumapili Bajeti: Mwisho wa porojo za kisiasa?  [Ansbert Ngurumo]
spc
NAANDIKA nikijua kwamba kwa wananchi walio wengi, hii ni wiki ya kununa na kukasirika. Wanainunia serikali kwa sababu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2007/08. Nimeisoma halafu nikajiuliza: Kwa bajeti hii tutaishi au tutakuwapo tu? Huu ndiyo mwanzo wa “Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.” Inatupa ujasiri wa kujitapa kwamba “Tanzania yenye neema inawezekana?” ...
  Wazo Jepesi Zanzibar si ya CCM wala CUF  [Juvenalis Ngowi]
  Sitaki Bajeti inayoangamiza jamii  [Ndimara Tegambwage]
spc
  Sitanii Hatuendelei bila risiti  [Deodatus Balile]
spc
  Tusemezane Mtoto wa Afrika na Afrika ya kesho  [Padri Privatus Karugendo]
spc
  Katika utunzaji wa mazingira kwa nini tusiige mbinu za wahenga?  []
spc
  Nasema hivi Utamu wa pipi bungeni ujenge hoja  [Christopher Nyenyembe]
spc
  Kona ya Vijana Wazazi kiini cha kushuka maadili ya vijana  [Hillary Nkony]
spc
  Wenye nazo wanapeta maghorofani, walalahoi. . .  [Tom Kilumbi ]
spc
  Waafrika tutadanganywa hadi lini?  [Abraham Makinda]
spc
  Asili ya Muziki DanceHall Reggae (2)  [Innocent Nganyagwa]
spc
  Kona ya Mastaa MC Hammer - Kutoka rapa mahiri hadi uchungaji   []
spc
juu
Watakiwa kusambaza elimu ya ukimwi [Agnes Mlundachuma]
spc
WATENDAJI na wenyeviti wa Serikali za Mitaa, wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa elimu ya kuzuia maambukizi ya ukimwi. Wito huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake Waishio na Virusi vya Ukimwi Tanzania (TNW+), Rehema Ndelwa...
  Mume ajeruhi mkewe kwa kisu [Schola Athanas]
spc
  Wanafunzi waomba kufunguliwa akaunti [Nasra Abdallah]
spc
  40 mahakamani kwa ukahaba [Sheilla Sezzy]
spc
  Yatima 80 wasaidiwa [Joe Lwakatare]
spc
  Utumishi waandaa mkataba wa huduma [Mkolo Kimenya]
spc
juu
Wanasiasa wadaiwa kulivuruga kanisa    Songea [Alpius Mchucha]
spc
ASKOFU wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma, Dk. Maternus Kapinga, amewabaini watu tisa ambao ni watendaji wa serikali na wa vyama vya siasa, aliodai wanajihusisha kuendesha hujuma dhidi ya askofu na waamini wa kanisa hilo...
  SUMATRA Mbeya hawana taarifa za boti iliyoua    [Christopher Nyenyembe]
spc
juu
Huruma wakamilisha albamu ya aina yake [Agnes Mlundachuma]
spc
KIKUNDI cha kwaya cha Huruma Rainbow Singers (HRS) cha jijini Dar es Salaam, kimekamilisha kurekodi albamu yake ya kwanza ambayo ina nyimbo mchanganyiko. Akizungumza na Tanzania Daima jana jijini Dar es Salaam, mwalimu na mwimbishaji wa kwaya hiyo, Alexander Kaija...
juu
Simba yajichimbia Bamba Beach      [Eugenia Kimolo]
spc
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, juzi iliingia kambini kwenye Hoteli ya Bamba Beach kujiandaa na hatua ya Sita Bora ya Ligi Ndogo, huku ikiwa na wachezaji watano walio wagonjwa...
  TFF yabuni staili kuchangia Stars      [Makuburi Ally]
spc
 Rwanda yawaombea vibali Pawassa, Machuppa     [Mwandishi Wetu]
spc
  Daud Salum aibukia Morogoro      [Magdalena Ally]
spc
  IST, Academy zang’ara kuogelea      [Mohamed Masenga]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234