logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumatatu, 18 Juni 2007
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Wabunge CCM waibana serikali [Rachel Chizoza]
spc
WAKATI wabunge wa Bunge wakijiandaa kuanza kuijadili bajeti ya serikali ya mwaka 2007/2008, leo, kuna habari kwamba wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa kwenye kikao cha faragha mwishoni mwa wiki, waliibana serikali na kuihoji kwanini imeongeza gharama katika kodi ya mafuta...
  Upinzani kuwasilisha bajeti mbadala [Kulwa Karedia]
spc
  Wapinzani waichongea serikali kwa wananchi [Irene Mark]
spc
  Mahakimu Z’bar matatani [Mwandishi Wetu]
spc
  JK ateua DC, apangua watatu [Mwandishi Wetu]
spc
 
Tahariri    Hongera Stars, hakuna kulala!
spc
JUZI usiku, timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, iliwapa faraja Watanzania kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Burkina Faso katika mechi iliyopigwa nchini humo. Ushindi huu, umekuwa faraja kubwa kwa Watanzania na tunaweza kusema, umekuja wakati muafaka, hasa baada ya Watanzania kubadilika na kuanza kuipenda timu yao...
Taifa Stars yaleta raha kwa Watanzania  [Deodatus Mkuchu]
spc
KAMA kuna siku ambayo, wapenzi, mashabiki wa soka na Watanzania kwa ujumla, walipatwa na wazimu wa furaha, basi ni usiku wa juzi. Hii ni baada ya timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, iliyo katika kampeni ya kusaka tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa Afrika mwakani nchini Ghana, kuitandika Burkina Faso 1-0...
  Mtazamo wangu Kumbe Watanzania wanaipenda Stars!  [Deodatus Mkuchu]
  EA Cup 2007 Fursa nyingine kwa vijana kuonyesha vipaji vya soka  []
spc
  Messi Nyota anayelipwa zaidi ya Ronaldinho Barcelona  [Shabani Matutu ]
spc
  Young Life Marekani yaacha changamoto kikapu Tanzania  [Restuta James]
spc
juu
Bakwata yatoa tuzo ya heshima [Mobini Sarya]
spc
BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetoa tuzo za heshima kwa watu watano kutokana na mchango wao katika jamii. Waliotunukiwa tuzo hizo ni Mkuu wa Vodacom Foundation, Rechal Phares, Mkrugenzi wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Charles Kimei...
  NBC yachangia ujenzi kituo cha afya [Seleman Is-haq]
spc
  Eurafrican yapongezwa kuhifadhi mazingira [Tamali Vullu]
spc
  Wakazi Dar wampongeza Kandoro [Ruhazi Ruhazi]
spc
juu
Machungu ya uchaguzi yaitafuna Mbeya    Mbeya [Christopher Nyenyembe]
spc
WAKAZI wa Jiji la Mbeya, wameelezea tabia ya kutokuwa makini katika uchaguzi wa madiwani wenye uwezo, kuwa ndiko kunakokwamisha mipango mingi ya maendeleo ya jiji hilo. Hali hiyo inatokana na taarifa mbalimbali za mapato na matumuzi ya fedha za serikali zilizopokelewa kwenye halmashauri ya jiji hilo kushindwa kusimamiwa vizuri, hivyo kujikuta ikipatiwa hati chafu ya matumizi...
  Dodoma yapatiwa walimu 150    [Rachel Chizoza]
spc
  VETA kuzalisha ajira zenye ushindani    Kilosa [Joseph Malembeka]
spc
  Wanaotoa vibali ukataji miti waonywa    Morogoro [Riziki Mwakyoma]
spc
  Wafanyabiashara wadanganyifu Kahama wabainika    [Alli Lityawi]
spc
  UDSM kukisaidia Chuo cha Elimu ya Awali Korogwe    [Nasir Abdul]
spc
  Viongozi wa dini waaswa kutonyanyapaa waathirika    [Mwandishi Wetu]
spc
  Marealle ashinda chaguzi za CCM kata    Moshi [Charles Ndagulla]
juu
Stars kutua kwa kishindo leo Dar      [Mwandishi Wetu]
spc
MASHUJAA, timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, baada ya kuwasili jana saa 4 usiku jijini Mwanza, leo saa 4 asubuhi, itatua jijini Dar es Salam kwa kishindo. Timu hiyo inawasili ikiwa ni siku moja tangu ifanye maajabu kwa kuwafunga Burkina Faso kwenye ardhi yao na kutibua rekodi yao ya zaidi ya miaka 20 ya kutofungwa katika uwanja wao...
  Msumbiji yaibana Senegal      [Mwandishi Wetu]
spc
 Toto Africa yarejea Ligi Kuu     [Wilson Elisha]
spc
  Wapinzani wafagilia ushindi wa Stars      [Irene Mark]
spc
  Iringa mashabiki wapagawa ushidi wa Stars      [Zainab Kibao]
spc
  Klabu Bingwa Wavu kupigwa Mwanza      [Makuburi Ally]
spc
  Majimaji wavunja pambano na Coastal      [Nasir Abdul]
spc
  Tanzania yaanza vibaya masumbwi Mwanza      [Mwandishi Wetu]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234