logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumatano, 20 Juni 2007
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Mke wa Malecela aishambulia serikali [Mwandishi Wetu]
spc
MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela (CCM), ameitahadharisha serikali kuwa mpango wake mpya ilioubuni wa kupitisha mizigo na bidhaa za wawekezaji bandarini bila ya kukaguliwa, ni hatari kwa taifa...
  Sumaye: Sijasoma kusaka urais [Mwandishi Wetu]
spc
  Wabunge CCM waishangaa bajeti [Rachel Chizoza na Kulwa Karedia]
spc
 
Tahariri    Katika hili tunakubaliana na wabunge wa upinzani
spc
JUZI wabunge wa kambi ya upinzani waliwasilisha kile walichokielezea kuwa ni bajeti mbadala iliyokuwa ikijibu hotuba ya bajeti ya Waziri wa Fedha, Zakia Meghji aliyoitoa Alhamisi ya wiki iliyopita. Wabunge hao wa upinzani katika mapendekezo yao hayo waliitaka serikali kuitengea sekta ya miundombinu kiwango kikubwa zaidi cha fedha kinachozidi asilimia 20 ya bajeti nzima...
Ushindi Stars na viongozi wetu wasiosema kweli!  [M. M. Mwanakijiji]
spc
WATANZANIA tuna kila sababu ya kusikia raha na furaha, sababu ya kujivuna na kujivunia, sababu ya kutembea vifua mbele na vichwa juu! Ushindi wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, umetufanya si tu kujisikia wamoja, bali pia kujiona wamoja, kwani ushindi wao ni ushindi wa Tanzania...
  Tu hoi katika ushindi wa Stars, ‘ulevi’ wa watawala  [Ansbert Ngurumo]
  Bajeti; tulipe kodi kupunguza mzigo  [Richard Hiza Tambwe]
spc
  Tambwe ni Yuda msaliti wa Yesu  [Absalom Kibanda]
spc
  Kikwete sasa atalazimishwa kuvunja Baraza la Mawaziri  [Absalom Kibanda]
spc
  ANBEM na Tanzania Green wametuamsha  [Christopher Kidanka]
spc
  Jicho la kijiweni Hii ni bajeti ya mawazo na udhalilishaji  [Msemahovyo]
spc
  Bajeti imetufungua macho: Sasa ni maisha machungu...  [Chris Alan]
spc
  Siku 1,532 za maisha yangu gerezani  [Mwinjilisti Kamara Kusupa]
spc
juu
Habari zote na Kulwa Karedia na Rachel Chizoza, Dodoma
Mgambo si jeshi kamili la Jamhuri    Mbunge Mpanda Kati
spc
SERIKALI haina mpango wa kulitangaza Jeshi la Mgambo kuwa sehemu ya jeshi kamili, Bunge limeelezwa jana. Akijibu swali la Mbunge wa Mpanda Kati, Said Amour Arfi (CHADEMA), aliyetaka kujua jeshi hilo litatambulika lini kama jeshi kamili...
  NGOs 107 za kimataifa zimesajiliwa nchini    Mbunge Viti Maalum
spc
  Serikali yakiri sheria hazifiki vijijini    Mbunge Babati Vijijini
spc
  JWTZ yahitaji nyumba 1,000 Zanzibar    Mbunge Bububu
spc
  Ahoji ‘mabilioni ya JK’ kwa Z’bar    Mbunge Gando
spc
  Serikali kuwatimua wawekezaji wasiofaa    Mbunge Mkwajuni
spc
juu
Waliofukuzwa IFM warejeshwa [Agnes Yamo]
spc
WANAFUNZI tisa kati ya 12 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), waliofukuzwa chuoni hapo kwa madai ya kuchochea mgomo, wamerejeshwa. Rais wa Serikali ya wanafunzi (IFM-SO), Boniphace Baltazar, alisema kurejea kwa wanafunzi hao tisa kumetokana na agizo la Waziri wa Fedha, Zakia Meghji, alilolitoa kwa uongozi huo juzi jioni...
  Watoto mil. 2 wakosa masomo kwa utoro [Dauson Harold]
spc
  Mwinjilisti kizimbani kwa utapeli [Asha Bani]
spc
  Trafiki Kibaha adaiwa kujeruhi msichana [Ratifa Baranyikwa]
spc
juu
Ndesamburo atetea bia bungeni    Dodoma [Rahel Chizoza]
spc
KATIKA hali ambayo haikutarajiwa, Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA), ameitaka serikali kupunguza mara moja kodi katika bia. Ndesamburo alitoa utetezi wake huo kwa bidhaa hiyo wakati akichangia bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2007/08 iliyowasilishwa wiki iliyopita na Waziri wa Fedha, Zakia Meghji...
  Ujambazi unarejea taratibu?    [Waandishi Wetu]
spc
  Wafungwa Pemba hatarini    [Mwandishi Wetu]
spc
  Wananchi waishitaki polisi kwa TAKURU    [Kiadi Mohamedi]
spc
juu
Wasanii Afrika kuboresha vipaji Uingereza [Salma Kabogotah]
spc
KITUO cha British Council, leo kinatarajiwa kutoa maelezo jinsi wasanii wa Tanzania watakavyoweza kushiriki katika mpango wa kuwasaidia utakaofanyika nchini Uingereza hivi karibuni. Mpango huo unaojulikana kama ‘Bring Noise’, una lengo la kuboresha vipaji vya wanamuziki na wasanii...
juu
Neema yazidi kuiangukia Stars      [Tullo Chambo]
spc
NEEMA imezidi kuwashukia wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, baada ya Benki ya National Microfinance (NMB), nayo jana kuwamwagia sh mil. 17. Huu ni mwendelezo wa neema kwa timu hiyo iliyowasili jijini Mwanza Jumapili usiku ikitokea Burkina Faso na kutua Dar es Salaam juzi jioni...
  Athumani Idd aitamani Stars      [Joe Lwakatare]
spc
 Free Media yachanua Raha Condom     [Joe Lwakatare]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234