logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumatatu, 13 Agosti 2007
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Mtandao waiba mabilioni [Martin Malera]
spc
MTANDAO mpya wa wizi wa fedha za serikali zilizotengwa kwa ajili ya malipo ya mafao ya waliokuwa wafanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, umeibuka. Tayari mtandao huo umeishaiba mamilioni ya fedha za wafanyakazi wa jumuiya hiyo kwa kutumia nyaraka feki...
  Wingu zito latanda hoja ya Zitto, Dk. Slaa [Mwandishi Wetu]
spc
  Polisi wawili mbaroni uporaji NMB Mwanga [Charles Ndagulla]
spc
  Serikali yatahadharishwa upimaji VVU [Ramadhani Siwayombe]
spc
  Wadau wa habari wataka sheria ibadilishwe [Ratifa Baranyikwa]
spc
  ‘Wote wanaostahili fidia Wazo wamelipwa’ [Mobini Sarya]
spc
  CHADEMA wenyeji mkutano wa DUA [Prisca Nsemwa]
spc
 
Tahariri    Hongera Yanga kwa ubingwa wa Tusker
spc
Wizara ya Maji na Maendeleo ya Mifugo imesema inaandaaa utafiti kwa msaada wa Serikali ya Japan, kwa ajili ya kupeleka maji katika vijiji kadhaa katika mikoa ya Mwanza na Mara. Waziri wa Maji na Maendeleo ya Mifugo, Edwar Lowassa, jana aliliambia Bunge kuwa...
Marathon kuibeba tena Tanzania?  [Tullo Chambo]
spc
SEPTEMBA 25 hadi Agosti mosi mwaka huu, katika Jiji la Osaka Japan, kutarindima Mashindano ya Dunia ya Riadha. Mashindano haya ni makubwa kuliko yote katika kalenda ya Shirikisho la Riadha la Kimataifa (IAAF), ambayo hufanyika kila baada ya miaka miwili....
  Ally Kimwaga Bondia anayewatoa udenda Wazungu  [Mwanne Sekuru]
  Mtazamo wangu Yanga, Simba hawana uzalendo!  [Barnabas Maro]
spc
  Yanga ilivyoibeba michuano ya Tusker  [Wilson Elisha]
spc
  Uwanja mpya uendeshwe na wakala  [Mwandishi Wetu]
spc
juu
‘Migogoro ndani ya Uislamu inatokana na tamaa’ [Irene Mark]
spc
MIGOGORO ndani ya dini ya Kiislamu nchini inatokana na ubinafsi na tamaa ya viongozi wa dini hiyo katika jumuiya zake mbalimbali. Rais wa Jumuiya ya Waislamu ya Deenil Haqi, Saad Fadhil, tawi la Tanzania, alisema hayo wakati wa mkutano na waandishi wa habari...
  Jeshi la Zimazoto kuboreshwa [Prisca Nsemwa]
spc
  Mwananyamala walalamikia vibaka [Schola Athanas]
spc
juu
Wamiliki viwanda vya mbao kuandamana    Mafinga [Mwandishi Wetu]
spc
ZAIDI ya watu 500, wakiongozwa na wamiliki wa viwanda vya mbao wilayani Mufindi, wanatarajia kuandamana kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa wakipinga hatua ya Wizara ya Maliasili na Utalii, kupandisha gharama za magogo kwa zaidi ya asilimia 500...
  DC akemea rushwa kwa wauguzi    Muheza [Steven William]
spc
  Mradi kuzuia mbu wapongezwa    Bukoba [Antidius Kalunde]
spc
  Bunda wakosa maji kwa hujuma    Bunda [Ahmed Makongo]
spc
juu
Watu Pori wamuacha Lady Jaydee [Ruhazi Ruhazi]
spc
HATIMAYE kundi la muziki wa kizazi kipya la Watu Pori, la mjini Morogoro, limekamilisha kurekodi albamu mpya, ‘Fanya Kazi’, baada ya kuamua kumshirikisha msanii chipukizi Ally Othmani, badala ya Judith Wambura ‘Lady Jaydee’...
  Kanumba aililia hadhi ya wasanii [Schola Athanas]
spc
juu
Yanga yarejea Dar kwa kishindo      [Ruhazi Ruhazi]
spc
KWA dakika kadhaa, kelele za shangwe, nderemo na vifijo vya mashabiki wa Yanga, viligubika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere, Dar es Salaam, pale wachezaji wa timu hiyo walipowasili kwa ndege wakitokea jijini Mwanza...
  Wadau wakwamisha mamilioni ya Stars      [Makuburi Ally]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2007 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234