logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumatatu, 28 Januari 2008
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Lipumba aibuka [Salehe Mohamed]
spc
MWENYEKITI wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba, amesema kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Daudi Ballali, ni mbinu za Rais Jakaya Kikwete, kujipatia umaarufu ilihali mhusika hayupo nchini, huku alioshiriki nao wakiendelea kutafuna mali za nchi...
  Waziri Simba akaidi kulipia maji [Hellen Ngoromera]
spc
  Karume ataka serikali ya mseto Z’bar [Saada Said]
spc
  ‘Ufisadi BoT umefanyika ndani ya miaka 5’ [Pascal Mayalla]
spc
  Sheikh ashauri elimu sekondari iwe bure [Mwandishi Wetu]
spc
 
Tahariri    Juhudi hizi za FIFA ziungwe mkono
spc
MWISHONI mwa wiki, ilikuwa habari njema kwa klabu 14 za Ligi Kuu ya Bara, baada ya kupokea msaada wa vifaa mbalimbali kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA)...
Mtazamo wangu Bila soka ya vijana hakuna mafanikio  [Mwandishi Wetu]
spc
FAINALI za soka za Mataifa ya Afrika zilizoanza kutimua vumbi Januari 20 nchini Ghana kwa kushirikisha miamba 16, zimeanza kutoa sura ya timu gani zitakazotinga robo fainali. Tangu kuanza kwa fainali hizi, kila mpenzi na shabiki wa soka kama si michezo kwa ujumla, amejionea au kusikia namna nyota wanavyoonyesha uwezo wao katika kusakata soka...
  Wakali 16 na vita ya robo fainali Ghana  [Mwandishi Wetu]
  Sunday Ibrahim Kiungo mahiri asiyesahaulika Ghana  [Salim Said Salim]
spc
  Uwanja wa kuchonga TFF inapojaribu kuficha maradhi  [Tullo Chambo ]
spc
juu
‘Serikali idhibiti VVU mikoa inayoongoza’ [Hellen Ngoromera]
spc
SERIKALI imeshauriwa kufanya juhudi za makusudi kudhibiti maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) hasa katika mikoa ya Dar es Salaam, Iringa na Mbeya ambayo imeonekana kuongoza kwa kuwa na maambukizi makubwa ya ugonjwa huo...
  Vyuo vikuu vyatakiwa kuboresha mitaala [Chalila Kibuda]
spc
  TIC kupeleka wajasiriamali 67 Ujerumani [Mwandishi Wetu]
spc
  TechnoServe kusaidia kilimo cha kahawa [Mwandishi Wetu]
spc
juu
Hujuma yaisababishia MUWSA hasara mil. 21/-    Moshi [Charles Ndagulla]
spc
MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka mjini Moshi (MUWSA), imepata hasara ya sh milioni 21.4 baada ya watu wasiojulikana kuiba mita zaidi ya 430 za maji katika kipindi cha miaka sita iliyopita...
  Resolute yasaidia kupunguza ajali Nzega    Nzega [Mwandishi Wetu]
spc
  Jela miaka 30 kwa kumbaka mwanawe    Singida [Halima Jamal]
spc
  Wangwe alaani mapokezi yake kuzuiwa    Moshi [Dixon Busagaga]
spc
  Mfungwa afa kwa kunaswa umeme    Tarime [Chris Mang’era]
spc
  Hakuna utawala bora nchini - Pinda    Musoma [Edward Ibabila]
spc
  Waapa kutohama kupisha upanuzi wa jiji Tanga    [Kiadi Mohamedi]
spc
juu
Serikali yaombwa kulinda mila na desturi [Hellen Ngoromera]
spc
SERIKALI imeshauriwa kulinda kwa hali na mali mila na desturi za Tanzania ili zisipotee. Ushauri huo umetolewa hivi karibuni na msanii wa nyimbo za Kiafrika, Wanne Mgaya maarufu kama Wanne Star, alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam...
juu
Simba yanguruma U/Taifa    Ligi Kuu   [Makuburi Ally]
spc
SAFARI ya Simba kuanza kutetea taji la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ilianza vema jana baada ya kuifunga Coastal Union ya Tanga mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...
  Ghana, Morocco kufa kupona leo     Ghana '08 [Mwandishi Wetu]
spc
 Asamoah, Baffour wasusa kambi Ghana    Ghana '08 [Mwandishi Wetu]
spc
  Ferej apanga kung’atuka ZFA      [Munir Zakaria]
spc
  Mabondia Tz wachemsha Algeria      [Eugenia Kimolo]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2008 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234