|
|
Habari mpya motomoto! |
 |
|
|
 |
|
Tahariri
Unyama huu ukomeshwe |
 |
 |
|
HABARI kubwa katika gazeti hili, toleo la leo, inahusu mauaji ya kinyama ya Tumaini Mbaga, aliyekuwa dereva wa Naibu Waziri wa Usalama wa Raia, Mohamed Aboud. Katika habari hiyo, Jeshi la Polisi limeeleza kuwa mwili wa dereva huyo ulikutwa kwenye pori la Kwembe Kipera, katika mpaka wa Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani, ukiwa umetenganishwa na kichwa.... |
|
Mtazamo wangu
Wananchi nafasi ni yenu BoT [Tamali Vullu] |
 |
 |
|
TIMU iliyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, baada ya taarifa ya ukaguzi katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuhusu upotevu wa fedha za Akaunti ya Malipo ya Kigeni (EPA), juzi ilitangaza kuanza kazi rasmi... |
 |
Suluhu ni kujenga viwanda au kudhibiti mfumuko wa bei? [O. Nyawangah ] |
Tunakosa washauri wa uchumi na fedha? [Edwin Mtei] |
 |
Ufisadi ni sehemu tu ya matatizo ya BoT [Abdul Mtemvu] |
 |
Tunapozikimbia malighafi zetu [Giliard Sauli] |
 |
Bila barabara uchumi hautakua [Daniel Misheto] |
 |
Magadi ya Ziwa Natron mkombozi wa uchumi Tanzania [Salehe Mohamed] |
 |
juu 
|
|
 |
|
|
 |
|
|
 |
|
|
juu 
|
|
|