HOJA ya ufisadi na ripoti ya ubadhirifu wa mamilioni ya fedha ndani ya Benki Kuu (BoT), imeendelea kugusa hisia za viongozi mbalimbali hapa nchini. Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo lilifunguliwa rasmi jana, hoja hiyo ndiyo iliyoonekana kuchukua nafasi ya kwanza miongoni mwa mambo mengine kadhaa...
JANA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Dk. Batilda Burian, alitangaza bungeni kuwa serikali ilitumia sh milioni 142.96 kugharamia safari za mawaziri na wasaidizi wao mwaka jana, wakati wa ziara za mikoani, kwa kile kilichoelezwa kutoa ufafanuzi kuhusu bajeti ya serikali ya mwaka 2007/08...
KUNA imani kwamba Watanzania ni wepesi wa kusahau mambo makubwa ya kitaifa. Kuna imani pia kwamba Watanzania ni wepesi wa kukubali yaishe pale wanapoona jambo fulani walilokuwa wanalidai limekataliwa na serikali, hata kama wanajua kuwa msimamo wa serikali si sahihi...
SERIKALI ilitumia jumla ya sh milioni 142.96 kugharamia safari za mawaziri na wasaidizi wao mwaka jana, wakati wa ziara za mikoa yote nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kutoa ufafanuzi kuhusu bajeti ya serikali ya mwaka 2007/08...
WAFANYAKAZI wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki wanaoingia katika siku ya pili ya mgomo, wamedhamiria kuendelea na mgomo huo hadi Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, John Chiligati, atakapokwenda kuzungumza nao kuhusu kupunguzwa kwa mishahara yao...
WARATIBU wa elimu kata wa wilaya za Kahama na Bukombe, mkoani Shinyanga, wamezitaka ofisi za elimu za wilaya hizo kupambana na walimu wazembe, watoro, walevi na wasiofuata maadili ya kazi ...
BENDI ya muziki wa dansi ya Akudo Impact, ya jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kupanda jukwaa moja na mwanamuziki maarufu kutoka Zimbabwe, Oliver Mtukudzi 'Tuku' katika shoo itakayofanyika The Marquee, ndani ya Hoteli ya Movenpick, Ijumaa ya Februari mosi jijini...
BAADA ya Morocco na Namibia kufungasha virago katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, leo itakuwa zamu ya vigogo vingine kuziaga fainali hizo za 26.
Morocco na Namibia zenyewe ziliaga juzi kutoka kundi A,...