logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
jumatatu, 3 novemba 2008
Yaliyopita
rss feeds
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
Uamuzi mzito UVCCM [Mwandishi Wetu]
spc
RAIS JAKAYA Kikwete, amekata mzizi wa fitina kwa kuamua kupitisha majina ya waombaji kutoka Tanzania Visiwani, kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM), iliyoibua mzozo na mvutano kwa waombaji wa Bara. Kikwete alitoa uamuzi huo jana katika kikao cha Kamati Kuu...
  Wezi EPA kutinga mahakamani wiki hii [Esther Mbussi]
spc
  Polisi yatangaza vita na majambazi [Sitta Tumma]
spc
  Wastaafu EAC kumjadili Kikwete leo [Deogratius Temba]
spc
  TCC yatoa mil. 120/- kwa polisi [Mwandishi Wetu]
spc
  UDP: Viongozi wanaoshabikia OIC wajiuzulu [Tamali Vullu]
spc
 
Tahariri    Hongera Vodacom kwa nyota wa VGSS
spc
PROGRAMU ya kusaka vipaji vya vijana kwa mchezo wa soka iliyokuwa ikiendeshwa na Kampuni ya Vodacom, Vodacom Global Soccer Star Search (VGSS), juzi ilifikia mwisho kwa kuwapata nyota watatu bora. Vijana walioshinda hivyo kwenda kukuzwa kisoka katika nchi za Uingereza na Hispania, ni Casmas Mwazembe, Salum Asseid na Casto Francis....
Mtazamo wangu BFT hawana sababu ya kutojiuzulu  [Eugenia Kimolo]
spc
OKTOBA 28, Makamu wa Rais wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Christopher Mutarabukwa, alitangaza kile alichokiita uamuzi wa kamati ya utendaji ya shirikisho hilo kwamba, wamelazimika kujiuzulu kutokana na matatizo yaliyolitikisa shirikisho hilo....
  Voda yapata watatu wa Hispania, England  [Mwandishi Wetu]
  Kama tunataka kucheza fainali Kombe la Dunia  [Kadatta K. Kadatta]
spc
  Ukata ulivyokwaza klabu bingwa ya ndondi Dar  [Eugenia Kimolo]
spc
juu
Ilala kuwafunga watakaotupa taka ovyo [Nasra Abdallah]
spc
MEYA wa Manispaa ya Ilala, Abuu Jumaa, amesema manispaa hiyo itaanza kuwatoza faini au kuwafikisha mahakamani watu wote watakaokuwa wakitupa taka ovyo katika manispaa hiyo. yeyote atakayekutwa anatupa takataka katika wilaya hiyo atatozwa faini au kufikishwa mahakamani....
  Maalbino wataka jamii kutowadhihaki [Shehe Semtawa]
spc
  Rapid Funding yamwaga bilioni 4/- kwa asasi [Esther Mbussi]
spc
  Serikali yawaangukia wafadhili wa udaktari [Deogratius Temba]
spc
  NEMC yafanya ukaguzi KTM [Mwandishi Wetu]
spc
  Uamuzi kesi ya Wassira Nov. 6 [Asha Bani]
spc
juu
CUF: Kikwete acha woga    Tanga [Kiadi Mohamedi]
spc
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwa na msimamo na kuacha woga na uvivu wa kujenga hoja, ili kuliokoa taifa na mitafaruku isiyo ya lazima. Hayo yalielezwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, alipohutubia wakazi wa Jiji la Tanga jana katika uwanja wa Mabawa Cassanova uliyopo jijini hapa...
  Mgogoro Dayosisi ya Pare wazidi kufukuta    Mwanga [Charles Ndagulla]
spc
  Wamuomba JK kuondoa mgogoro wa ardhi    Arumeru [Halfani Lihundi]
spc
  Mbinga waanza kupata umeme wa uhakika    Mbinga [Mwandishi Wetu]
spc
juu
Maisha Plus yasogezwa mbele [Esther Mbussi]
spc
MCHAKATO wa kurudisha fomu za shindano la Maisha Plus umesogezwa mbele hadi Novemba 8 mwaka huu. Awali fomu hizo zilianza kutolewa Oktoba 15 hadi 30 mwaka huu. Mratibu wa shindano hilo Masoud Ally ‘Kipanya’ alisema lengo la hatua hiyo ni kuwapa muda washiriki kuchukua fomu hizo kutokana na zile za awali kuwa chache kulinganisha na watu waliojitokeza kuchukua fomu hizo...
juu
Kipingu ampigia debe Tenga TFF      [Ruhazi Ruhazi]
spc
MWENYEKITI wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Kanali mstaafu, Idd Kipingu, amempongeza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga, kwa kuamua kutetea wadhifa huo katika uchaguzi utakaofanyika Desemba 14...
  Nyota watatu waula VGSS      [Mwandishi Wetu]
spc
 Azam yaizima Mtibwa Sugar     [Shaaban Mpalule]
spc
  Michezo iendelezwe vyuoni -TACOGA      [Fatma Gaffus]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2008 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234