logo spc.r_ad0
sp.b_ad0
blu.strip
spc.bt_blu.strip
HABARI MPYA KITAIFA DAR MIKOANI TAHARIRI MAKALA MICHEZO
sp.b_menu
ban
sp.b_ban
alhamis, 14 Februari 2008
Yaliyopita
Pekua Tovuti
sp.t_sech.box sp.tafuta_w_tuma sp.t_tuma sp.r_tuma
sp.b_box sp.b_tuma
sp.b_F1
h.sep1
sp.r_men
sp.t
Gazeti la Jana
Matangazo
Bei zetu
Wasiliana nasi
Tuma habari
sp.b_tuma
sp.l_men
h.sep1
sp.l sp.t sp.r
LOGIN
sp.men.l sp.men.t sp.men.r
Username
sp.b_user
sp.t-word
Password
sp.b_word
sp.t_btn
sp.b_btn
sp.b
h.sep1
Habari mpya motomoto!
JK afichua siri [Waandishi Wetu]
spc
BARAZA jipya la mawaziri lililotangazwa na Rais Jakaya Kikwete juzi limeanza kufichukua masuala kadhaa yaliyojificha nyuma ya uteuzi huo uliopokewa kwa hisia tofauti na wananchi wa kada mbalimbali. Uteuzi huo umeonyesha dhamira ya wazi na ya kweli ya rais...
  Richmond yaigawa CCM [Mwandishi Wetu]
spc
  Mrema amtaka JK kueleza anayofahamu [Waandishi Wetu]
spc
 
Tahariri    Tumeanza upya jana
spc
RAIS Jakaya Kikwete jana aliwaapisha mawaziri wake 47 aliowateua juzi, ikiwa ni miaka miwili na ushei tangu alipochaguliwa kuwa Rais wa Nne wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Ni jambo la heri kwamba, miaka miwili baada ya kuingia madarakani, Kikwete amepata fursa ya kuijenga upya serikali yake kwa kuchagua mawaziri wapya akianzia na waziri mkuu...
Chenge anafunika ya Mkapa au kamati ya ‘ufundi’?  [Chris Alan]
spc
JANA baada ya Baraza la Mawaziri kuapishwa, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Joseph Mungai, alieleza kufurahishwa kwake na uteuzi wa aliyekuwa Naibu wake, Lawrence Masha, kuwa waziri kamili wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia, zikiwa zimeunganishwa zilizokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani na ya Usalama wa Raia...
  Kwanini wanawake wanaambukizwa zaidi ukimwi?  [Agnes Mlundachuma]
  Maisha yetu Tabia 10 za kuepuka kuhusu fedha  [Lucy Ngowi ]
spc
  Markaz Chang’ombe Kitovu cha elimu ya Kiislamu Tanzania  [George Maziku]
spc
  DIT Taasisi ya kwanza Afrika Mashariki  [Ratifa Baranyikwa]
spc
juu
Ailalamikia Muhimbili kutompa matibabu [Agnes Mlundachuma]
spc
MKAZI wa mkoani Tabora, Peter Komba, aliyeng’atwa na mbwa, ameilalamikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushindwa kumpatia matibabu, kwa maelezo ya kutokuwa na kibali kutoka kwa ofisa mifugo ...
  UV CCM wateua viongozi wake [Hellen Ngoromera]
spc
juu
Ndege yaanguka, yaua wawili    Moshi [Charles Ndagulla]
spc
NDEGE ndogo aina ya Cessina 172 Lims Rokert, namba 5H-FUN, imeanguka na kuua watu wawili na wengine wawili waliokuwemo ndani yake walijeruhiwa, wote ni raia wa kigeni...
  Wananchi wenye hasira wajeruhi mgambo    Kahama [Patrick Mabula]
spc
  Mwanza, Moro watofautiana Baraza la Mawaziri    [Waandishi Wetu]
spc
juu
Zorro kuwapa raha wapendanao Dom [Eugenia Kimolo]
spc
MWANAMUZIKI mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Banana Zorro, akiwa na bendi yake ya B Band, amewaahidi wapendanao, kuwapa burudani ya aina yake katika onyesho litalorindima Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, Februari 14 kwenye Ukumbi wa Royal Village mkoani Dodoma...
  Akudo Impact na Wapendao Sinza [Eugenia Kimolo]
spc
juu
Manyema yaibana mbavu Simba      [Mwanne Sekuru]
spc
MABINGWA watetezi wa soka Tanzania Bara, Simba, jana walishindwa kutamba mbele ya Manyema FC ya jijijini, baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana katika mechi, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam...
  Wengi wamfagilia Mkuchika      [Eugenia Kimolo]
spc
 Yanga yapaa, Mwaikimba nje     [Khadija Kalili]
spc
  Twiga Stars yalala tena kwa TASWA      [Makuburi Ally]
spc
  Mikoa kuanza kuwasili Moshi kesho    Mashindano ya Nyika [Janelisa William]
spc
juu
Habari Mpya  |  Kitaifa  |  Dar  |  Mikoani  |  Tahariri  |  Makala  |  Michezo  |  Matangazo  |  Webmaster
Copyright 2008 © FreeMedia Ltd.
Free Media limted
mtaa wa mkwepu na makunganya, slp 15261, dar es salaam, tanzania
simu +255-22-2120604  •  faksi +255-22-2126234