|
BAO lililofungwa na Francis Ouma wa Harambee Stars katika dakika ya 85 ya mchezo, lilitosha kuipa ushindi wa 1-0 Harambee ya Kenya dhidi ya timu ya Tanzania, Taifa Stars, katika mechi ya kwanza ya hatua za awali za kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Nyayo, Narobi, Kenya.... |