HABARI MPYA LA JANA MATANGAZO BEI ZETU WASILIANA NASI TUMA HABARI
jumanne, 9 februari 2010
Yaliyopita
rss feeds
Pekua Tovuti
Sitta: Sikumbeba Mkapa
[Mwandishi Wetu]
SPIKA wa Bunge Samuel Sitta amesema kwamba hajamtetea Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Jana vyombo vya habari viliripoti kwamba juzi Sitta aliwashambulia wanaomkosoa Rais Mkapa, vikimnukuu akisema wanaomshambulia Rais Mkapa hawalitakii mema taifa hili...
 
Mgombea Binafsi yaivuruga serikali[Happiness Katabazi]
Jaji Mkuu asema hukumu ya Mahakama iko pale pale
MAHAKAMA ya Rufani Tanzania imesema hukumu ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iliyoruhusu kuwepo kwa mgombea binafsi nchini, itaendelea kuwepo hadi pale mahakama hiyo itakapotoa uamuzi mwingine...
Habari za Kitaifa
 Ukweli kuhusu Loliondo leo [Mwandishi Wetu]
 Watuhumiwa wa rada wang'ang'aniwa [Deogratius Temba]
Habari Bungeni
[Habari zote na Rahel Chizoza na Hellen Ngoromera, Dodoma]
Makala
 Mtazamo wangu Elimu ya utambuzi wa vifaa vya kivita itolewe [Datus Boniface]
Habari za Dar es Salaam
Habari za Mikoani
 Mahakama Kuu yazuia uchaguzi BAKWATA  Arusha [David Frank]
 DBCs zapewa changamoto  Arusha [Mwandishi Wetu]
 Chiligati agawa hatimiliki za kimila  Bariadi [Angelica Sullusi]
 Matukio ya ujambazi yawanyima usingizi Mbinga  Songea [Alpius Mchucha]
 'Watanzania maskini kwa ufisadi wa viongozi'  Dodoma  [Danson Kaijage]
Michezo
 Yanga yaongeza presha Simba [Makuburi Ally]
 Yanga yaweka kando katiba [Makuburi Ally]

juu 
Habari Mpya  |  Matangazo  |  Bei zetu  |  Wasiliana nasi  |  Tuma habari  |  Barua pepe  |  Webmaster
Copyright 2009 © FreeMedia Ltd.
Wasomaji
 counters

hit counter

© free media limited 2009
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233  •  faksi +255-22-2126234  •  selula  0713 296570